TCAA WASAINI MKATABA WA KIUTENDAJI KWA MWAKA 2023/24 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 28 August 2023

TCAA WASAINI MKATABA WA KIUTENDAJI KWA MWAKA 2023/24

 

Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA), Hamza Johari (kulia waliokaa) pamoja na watumishi wa sekta ya Uchukuzi, mara baada ya kusaini Mkataba wa Kiutendaji kwa mwaka 2023/24, jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA), Hamza Johari akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu  Sekta ya Uchukuzi, Bw Gabriel Migire wakati wa utiaji saini Mkataba wa Kiutendaji kwa mwaka 2023/24, Jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Uchukuzi) Bw. Gabriel Migire (kushoto) akisaini Mkataba wa Kiutendaji kwa mwaka 2023/24 na Mkurugenzi Mkuu wa   Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA) Hamza Johari, Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment