RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE. JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA, IKULU DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 18 December 2025

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE. JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA, IKULU DAR

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment