TASAC YASAINI MKATABA WA KIUTENDAJI KWA MWAKA 2023/24 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 29 August 2023

TASAC YASAINI MKATABA WA KIUTENDAJI KWA MWAKA 2023/24

Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire akiwa katika picha ya pamoja  na Mkurugenzi Mkuu wa  Shirika la Uwakala wa Meli  Tanzania (TASAC), Bw. Kaimu Mkeyenge (kulia waliokaa) pamoja na  Viongozi wa Wizara na Taasisi ya Tasac, mara baada ya kusaini Mkataba wa Kiutendaji kwa mwaka 2023/24, jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Uchukuzi) Bw. Gabriel Migire (kushoto) akimkabidhi mkataba wa kiutendaji kwa mwaka 2023/24,  Mkurugenzi Mkuu wa  Shirika la Uwakala wa Meli  Tanzania (TASAC), BW. Kaimu Mkeyenge, Jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Uchukuzi) Bw. Gabriel Migire (kushoto) akisaini Mkataba wa Kiutendaji kwa mwaka 2023/24 na Mkurugenzi Mkuu wa  Shirika la Uwakala wa Meli  Tanzania (TASAC), BW. Kaimu Mkeyenge, Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment