RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWENYE MKUTANO WA 15 WA BRICS UNAOFANYIKA JOHANNESBURG NCHINI AFRIKA KUSINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 24 August 2023

RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWENYE MKUTANO WA 15 WA BRICS UNAOFANYIKA JOHANNESBURG NCHINI AFRIKA KUSINI

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Iran Mhe. Dkt. Seyyed Ebrahim Raisi kabla ya kuanza mazungumzo kando ya mkutano wa 15 wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Iran Mhe. Dkt. Seyyed Ebrahim Raisi kabla ya kuanza mazungumzo kando ya mkutano wa 15 wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Senegal Mhe. Macky Sall kando ya mkutano wa 15 wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisoma hotuba yake kwenye Mkutano wa 15 wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.

No comments:

Post a Comment