MKURUGENZI MKUU TTCL AELEZA MIPANGO YA SHIRIKA KWA WAHARIRI NA WANAHABARI TANZANIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 25 August 2023

MKURUGENZI MKUU TTCL AELEZA MIPANGO YA SHIRIKA KWA WAHARIRI NA WANAHABARI TANZANIA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL), Peter Ulanga akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Dare es Salaam, kuelezea mipango na mikakati ya shirika hilo linavyoweza kuchangia taifa na wananchi kukua na kunufaika na Uchumi wa kidijitali.

Mkurugenzi wa Biashara Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Bw. Vedastus Mwita akizungumza kwenye mkutano huo na wahariri na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL), Peter Ulanga akifuatiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile wakiwa kwenye mkutano huo.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL), Peter Ulanga akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Dare es Salaam, kuelezea mipango na mikakati ya shirika hilo linavyoweza kuchangia taifa na wananchi kukua na kunufaika na Uchumi wa kidijitali.

Mkutano wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), waandishi wa habari pamoja na TTCL ukiendelea kwenye Ukumbi wa Mikutano Kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salamm.

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile (kulia) akichangia jambo kwenye mkutano huo.

Mhariri wa Habari wa Gazeti la Habari Leo, Mgaya Kingoba akizungumza jambo kwenye mkutano huo kati ya TTCL na wahariri na waandishi wa habari.

Baadhi ya wahariri kutoka Jukwaa la Wahariri Tanzania wakiuliza maswali na kuchangia mada mbalimbali kwenye mkutano huo na TTCL.

Baadhi ya wahariri na waandishi wa habari (kulia) wakipata maelezo mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa TTCL kabla ya kuanza kwa mkutano huo.

Baadhi ya wahariri na waandishi wa habari (kushoto) wakipata maelezo mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa TTCL kabla ya kuanza kwa mkutano huo.

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile (kulia) akichangia jambo kwenye mkutano huo.

Mada mbalimbali zikiwasilishwa kwenye mkutano huo.

Baadhi ya wahariri na waandishi wa habari (kushoto) wakipata maelezo mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa TTCL kabla ya kuanza kwa mkutano huo.

Maonesho ya huduma na bidhaa nje ya ukumbi kabla ya kuanza kwa mkutano huo.

Mkurugenzi wa T-Pesa, Lulu Mkude kutoka TTCL akifafanua jambo kwenye mkutano huo na wahariri na waandishi wa habari.

Mhariri Lilian Timbuka kutoka gazeti la Mwananchi akijangia mada kwenye mkutano huo.

No comments:

Post a Comment