RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA TLS, IKULU DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 14 August 2023

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA TLS, IKULU DODOMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na Wanachama wa Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na Wanasheria Wanawake wa Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) pamoja na Wanasheria Wanawake wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akizungumza kwenye Kikao na Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS), Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.

Viongozi pamoja baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) wakiwa kwenye Kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.

Viongozi pamoja baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) wakiwa kwenye Kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.

No comments:

Post a Comment