Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa (wa pili kulia mbele) akikagua ujenzi wa Barabara ya Manyovu - Kasulu KM 56 katika ziara yake. |
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa mkandarasi barabara hiyo ikamilike kwa kiwango cha lami ifikapo Oktoba mwaka huu. |
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa mkandarasi barabara hiyo ikamilike kwa kiwango cha lami ifikapo Oktoba mwaka huu. |
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa (wa pili kulia mbele) akiendelea kukagua ujenzi wa Barabara ya Manyovu - Kasulu KM 56 katika ziara yake. |
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa (katikati) akitoa maelekezo alipokuwa akikagua ujenzi wa Barabara ya Manyovu - Kasulu KM 56 katika ziara yake. |
No comments:
Post a Comment