SEKTA YA UJENZI NA UCHUKUZI, WASHIRIKI SHIMIWI TANGA 2022 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 10 October 2022

SEKTA YA UJENZI NA UCHUKUZI, WASHIRIKI SHIMIWI TANGA 2022

 

Wanamichezo kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Wakipita mbele ya Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora, Mhe. Jenista Mhagama, wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI), Jijini Tanga.

No comments:

Post a Comment