RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA, DK. RUTO, IKULU DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 10 October 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA, DK. RUTO, IKULU DAR

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku 2 Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto wakati walipokuwa wanazungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto Zawadi ya Picha ya kumbukumbu mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022.

No comments:

Post a Comment