RAIS SAMIA APOKEA RIPOTI YA KIKOSI KAZI KUHUSU URATIBU MAONI YA DEMOKRASIA VYAMA VINGI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 22 October 2022

RAIS SAMIA APOKEA RIPOTI YA KIKOSI KAZI KUHUSU URATIBU MAONI YA DEMOKRASIA VYAMA VINGI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi kuhusu Uratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikosi Kazi hicho Profesa Rwekaza Mukandala katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2022.



Viongozi pamoja na Wajumbe wa Kikosi Kazi kuhusu Uratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Kikosi Kazi kuhusu Uratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2022.



No comments:

Post a Comment