RAIS SAMIA AMUAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFANI, JAJI WA MAHAKAMA KUU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 1 October 2022

RAIS SAMIA AMUAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFANI, JAJI WA MAHAKAMA KUU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Abubakar Amin Mrisha kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Junus Purasdus Ndaro kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Suzanne Ndomba Doran kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.


No comments:

Post a Comment