WAZIRI MKUU AWASILISHA SALAMU ZA RAIS SAMIA JAPAN - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 30 September 2022

WAZIRI MKUU AWASILISHA SALAMU ZA RAIS SAMIA JAPAN

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary leo Septemba 27, 2022 wameshiriki katika mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Waziri Mkuu Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo  Abe yaliyofanyika Tokyo nchini Japan. Wengine walioshiriki katika mazishi hayo ni mke wa Balozi wa Tanzania nchini Japan, Consolata Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan, Baraka Luvanda na kulia ni Naibu Waziri wa  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk.

No comments:

Post a Comment