KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 25 October 2022

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Seleman Kakoso, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya utendaji ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) na  Bodi ya Usajili ya wabunifu Majengo na wakadiriaji Majenzi (AQRB), jijini Dodoma.

Mbunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Tanga, ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Mwanaisha Ulenge,  akifafanua jambo wakati  kamati hiyo ilipopokea taarifa ya utekelezaji wa miradi ya TBA na AQRB kwa mwaka 2022/23  jijini Dodoma.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, wakifuatilia taarifa ya Utendaji wa Wakala wa Majengo Tanzania  (TBA) na Bodi ya Usajili ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), ilipowasilishwa kwa  kamati hiyo, jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment