| Mkuu wa Idara ya Biashara NMB, Alex Mgeni akizungumza na chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini Dar es Salaam. |
| Meneja Mwandamizi Amana Idara ya Biashara wa NMB, Lilian Malekia akizungumza na chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini Dar es Salaam. |
| Meneja wa Huduma za Kibenki Kidijitali - NMB, Bi. Jacqueline Ntinabo akiwasilisha mada kwa chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini Dar es Salaam. |

No comments:
Post a Comment