WAZIRI WA UJENZI SMZ AFUNGA KONGAMANO LA WADAU WA HALI YA HEWA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday 16 September 2022

WAZIRI WA UJENZI SMZ AFUNGA KONGAMANO LA WADAU WA HALI YA HEWA

 

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohamed akifunga rasmi Kongamano la Wadau wa Hali ya Hewa lililoandaliwa na Shirika la Setelaiti za Hali ya Hewa Ulaya (EUMETSAT).

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohamed akifunga rasmi Kongamano la Wadau wa Hali ya Hewa lililoandaliwa na Shirika la Setelaiti za Hali ya Hewa Ulaya (EUMETSAT).



Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi akizungumza kwenye hafla ya ufungaji Kongamano la Wadau wa Hali ya Hewa lililoandaliwa na Shirika la Setelaiti za Hali ya Hewa Ulaya (EUMETSAT).

Afisa Uhusiano Kimataifa wa Shirika la Setelaiti za Hali ya Hewa Ulaya (EUMETSAT), Bw. Vincent Gabaglio (kushoto) akizungumza na wadau wa hali ya hewa kwenye hafla ya ufungaji Kongamano la EUMETSAT.

Washiriki wa Kongamano la Wadau wa Hali ya Hewa lililoandaliwa na Shirika la Setelaiti za Hali ya Hewa Ulaya (EUMETSAT) na kufanyika nchini Tanzania wakiwa kwenye hafla ya ufungaji Kongamano.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ambaye pia ni Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO), Dk. Agnes Kijazi akizungumza kwenye hafla ya ufungaji Kongamano la Wadau wa Hali ya Hewa katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ambaye pia ni Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO), Dk. Agnes Kijazi akisisitiza jambo kwenye hafla ya ufungaji Kongamano la Wadau wa Hali ya Hewa katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment