![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Msumbiji Joaquim Chissano pamoja na Wenza wa viongozi mara baada ya maadhimisho ya pili ya Kumbukizi ya Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa tarehe 14 Julai, 2022. |
Zanzibar yajinasibu kuwa kitovu cha biashara, utalii na utamaduni
-
Na Mwandishi Wetu
NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed, amesema Zanzibar
ina uwezo mkubwa wa kuimarisha uchumi kupitia biashara, uta...
3 hours ago
.jpg)
.jpg)




.jpg)
.jpg)
.jpg)

No comments:
Post a Comment