RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGA SEMINA YA WABUNGE WA CCM JIJINI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 21 May 2022

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGA SEMINA YA WABUNGE WA CCM JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akifunga Semina ya Wabunge wa CCM iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma Mei 21, 2022.


Sehemu ya Wajumbe wa Semina hiyo.


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan akisisitiza jambo kwa wajumbe wa mkutano huo.


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Komred Abdulrahman Kinana akizungumza (wakati wa uwasilishaji wa mada) katika Semina ya Wabunge wa CCM iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma liyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Mei 21, 2022.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM , Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM (CAUCUS), Kassim Majaliwa akizungumza katika Semina Ya Wa Bunge wa Bunge la Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). kiliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Mei 21, 2022.

Wajumbe wa Sekretariet ya Chama Cha Mapinduzi wakiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo (wa kwanza kushoto) wakifuatilia Semina hiyo ya Wabunge wa CCM iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma Mei 21, 2022.

No comments:

Post a Comment