HABARI PICHA ZA WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI KWENYE RELI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 2 March 2022

HABARI PICHA ZA WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI KWENYE RELI

Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) Prof. Neema Mori akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani), alipozungumza na Bodi na Menejimenti ya ATCL jijini Dar es Salaam leo.


Naibu Mkurugenzi wa Miundombinu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Mhandisi Karim Mataka akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, wakati alipotembelea eneo itakapojengwa reli ya kuingia bandarini.jijini Dar es Salaam.

Meneja Mradi wa Reli ya Kisasa SGR Sehemu ya Dar es Salaam hadi Morogoro, Mhandisi Simon Mbaga akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, kuhusu sehemu itakapopita reli ya kuingilia bandarini, wakati Waziri huyo alipotembelea eneo hilo.jijini Dar es Salaam.

Naibu Mkurugenzi wa Miundombinu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Mhandisi Karim Mataka akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, wakati Waziri huyo alipotembelea eneo itakapojengwa reli ya kuingia bandarini.jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, akisisitiza jambo kwa Uongozi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) na Uongozi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), wakati alipotembelea eneo itakapojengwa reli ya kuingia bandarini.jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa Bodi na Menejimenti ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) ambapo amewataka kuja na mikakati kabambe itakayowezesha kampuni hiyo kupata faida na kuongeza safari katika nchi za Afrika.


No comments:

Post a Comment