DKT. POSSI ASISITIZA MATUMIZI TIKETI MTANDAO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 4 March 2022

DKT. POSSI ASISITIZA MATUMIZI TIKETI MTANDAO

 

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi-Uchukuzi, Dkt Ally Possi, akisisitiza jambo kwa Menejimenti ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), wakati alipowatembelea , jijini Dar es Salaam.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi-Uchukuzi, Dkt Ally Possi, akiangalia moja ya lesseni inayotolewa kwa magari ya biashara inayotolewa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), jijini Dar es Salaam, alipotembelea ofisi za mamlaka hiyo. Kulia ni Afisa Mfawidhi wa Mamlaka hiyo Mkoa wa Dar es Salaam Bi. Habiba Chambali.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini (LATRA), Gilliard Ngewe, akifafanua jambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi-Uchukuzi, Dkt Ally Possi, kuhusu eneo maalum la kufanyia usaili kwa madereva wanaoomba lesseni za kuendesha magari ya biashara, wakati Naibu Katibu Mkuu huyo alipotembelea Ofisi za Mamlaka jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment