FREEMAN MBOWE AACHIWA HURU, AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS SAMIA HASSAN - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 4 March 2022

FREEMAN MBOWE AACHIWA HURU, AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS SAMIA HASSAN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar Es salaam leo tarehe 04 March 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe  alipowasili Ikulu Jijini Dar Es salaam leo tarehe 04 March 2022 .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe  alipowasili Ikulu Jijini Dar Es salaam leo tarehe 04 March 2022.

No comments:

Post a Comment