RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA KATIKA ZIARA YAKE YA KIKAZI BUNDA NA BUTIAMA MKOANI MARA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 7 February 2022

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA KATIKA ZIARA YAKE YA KIKAZI BUNDA NA BUTIAMA MKOANI MARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Bunda mkoani Mara baada ya kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Mradi wa Miundombinu ya kusafisha pamoja na kutibu Maji katika Sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Miembeni katika Wilaya ya Bunda Mkoani Mara leo tarehe 07 Februari, 2022.

Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe. Joshua Nassari akiwa amesimama kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kumtaja wakati akizungumza na Wananchi wa Wilaya hiyo Mkoani Mara leo tarehe 07 Februari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Bunda mkoani Mara baada ya kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Mradi wa Miundombinu ya kusafisha pamoja na kutibu Maji katika Sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Miembeni katika Wilaya ya Bunda Mkoani Mara leo tarehe 07 Februari, 2022.

No comments:

Post a Comment