Muonekano wa Daraja la Kitengule lenye urefu wa mita 140 ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 97.4 na magari yamesharuhusiwa kuanza kulitumia daraja hilo, mkoani Kagera.
Mhandisi Mshauri kutoka Kampuni ya Luptan inayosimamia ujenzi wa Daraja la Kitengule lenye urefu wa mita 140, Eng. Lucas Nyaki, akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Eng. Godfrey Kasekenya, wakati akikagua maendeleo yaliyofikiwa katika daraja hilo, mkoani Kagera.
No comments:
Post a Comment