DKT. POSSI AITAKA TAA KUSIMAMIA MIRADI KWA KUZINGATIA THAMANI YA FEDHA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 27 February 2022

DKT. POSSI AITAKA TAA KUSIMAMIA MIRADI KWA KUZINGATIA THAMANI YA FEDHA

 

Meneja kiwanja cha Ndege cha Arusha, Elipid Tesha akimuonesha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi), Dkt. Ally Possi, ramani ya jengo la abiria ambalo litajengwa katika Kiwanja cha Ndege cha Arusha, wakati Naibu Katibu Mkuu huyo alipotembelea kiwanja hicho mkoani Arusha. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) HAmis Amiri.

Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Arusha, Elipid Tesha akimuonesha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi), Dkt. Ally Possi, eneo la mradi wa ujenzi wa sehemu ya maegesho ya ndege katika Kiwanja cha Ndege cha Arusha, wakati Naibu Katibu Mkuu huyo alipotembelea kiwanja hicho mkoani Arusha. Wa pili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA).

No comments:

Post a Comment