MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKILIHUTUBIA TAIFA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 8 December 2021

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKILIHUTUBIA TAIFA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akilihutubia Taifa kupitia Vyombo mbalimbali vya Habari katika mkesha wa kuelekea siku ya Maadhimisho ya miaka 60 ya  Uhuru wa Tanzania Bara, leo tarehe 08 Desemba 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment