MHE. RAIS SAMIA AZINDUA MRADI WA PILI WA UJENZI WA JENGO LA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 14 November 2021

MHE. RAIS SAMIA AZINDUA MRADI WA PILI WA UJENZI WA JENGO LA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Major General Ibrahim Muhone kuhusu maeneo ya hifadhi ya Chuo hicho mara baada ya kuzindua rasmi makabidhiano ya mradi wa awamu ya pili ya ujenzi wa Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi  Kunduchi, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Novemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi makabidhiano ya Mradi wa Awamu ya Pili ya ujenzi wa Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Novemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye uzinduzi wa makabidhiano ya Mradi wa Awamu ya Pili ya ujenzi wa Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Novemba, 2021.

No comments:

Post a Comment