MHE. RAIS SAMIA AHUTUBIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA HOSPITALI YA BUGANDO JIJINI MWANZA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 18 November 2021

MHE. RAIS SAMIA AHUTUBIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA HOSPITALI YA BUGANDO JIJINI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi huduma ya MRI katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu utoaji wa huduma ya MRI mara baada ya kuzindua rasmi huduma hiyo kwenye Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Viwanja vya Hospitali ya Bugando kwa ajili ya Jubilei ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuzindua rasmi Mnara wa Kumbukumbu ya Jubilei  Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuzindua rasmi Mnara wa Kumbukumbu ya Jubilei  Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Maaskofu wa Hospitali ya Bugando mara baada ya kuzindua rasmi Mnara wa Kumbukumbu ya Jubilei Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye Jubilei ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Wananchi wakiwa katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Mnara wa Kumbukumbu ya Jubilei Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Baadhi ya Viongozi na Maaskofu wa Hospitali ya Bugando wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi rasmi wa Mnara wa Kumbukumbu ya Jubilei Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.

No comments:

Post a Comment