MHE. RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA MAKAMANDA WA JWTZ - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 15 November 2021

MHE. RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA MAKAMANDA WA JWTZ

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Tano wa Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 2021, kuhusu kujadili hali ya Jeshi pamoja na Taifa kwa ujumla ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa upeo wa pamoja katika Jeshi. Mkutano huo umefunguliwa leo tarehe 15 Novemba, 2021 katika Kambi ya JWTZ 302 KV Lugalo Jijini Dar es Salaam.

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Makamanda wa JWTZ alipowasili katika kambi ya  JWTZ 302 KV Lugalo Jijini Dar es Salaam leo tarehe 15 Novemba, 2021 kwa ajili ya kufungua Mkutano Mkuu wa Tano wa Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 2021, kuhusu kujadili hali ya Jeshi pamoja na Taifa kwa ujumla ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa upeo wa pamoja katika Jeshi. Mkutano huo umefunguliwa leo tarehe 15 Novemba, 2021.

 Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mkutano Mkuu wa Tano wa Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 2021, kuhusu kujadili hali ya Jeshi pamoja na Taifa kwa ujumla ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa upeo wa pamoja katika Jeshi. Mkutano huo umefunguliwa leo tarehe 15 Novemba, 2021.

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Mkuu wa Majeshi (CDF) Venance Mabeyo mara baada ya kufungua mkutano Mkuu wa tano wa Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 2021, kuhusu kujadili hali ya Jeshi pamoja na Taifa kwa ujumla ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa upeo wa pamoja katika Jeshi leo tarehe 15 Novemba, 2021 lugalo Jijini Dar es Salaam.

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Makamanda wa JWTZ mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Tano wa Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 2021, kuhusu kujadili hali ya Jeshi pamoja na Taifa kwa ujumla ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa upeo wa pamoja katika Jeshi. Mkutano huo umefunguliwa leo tarehe 15 Novemba, 2021 lugalo Jijini Dar es Salaam. IKULU.

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Makamanda wa JWTZ alipowasili katika kambi ya  JWTZ 302 KV Lugalo Jijini Dar es Salaam leo tarehe 15 Novemba, 2021 kwa ajili ya kufungua Mkutano Mkuu wa Tano wa Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 2021, kuhusu kujadili hali ya Jeshi pamoja na Taifa kwa ujumla ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa upeo wa pamoja katika Jeshi. Mkutano huo umefunguliwa leo tarehe 15 Novemba, 2021.

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Makamanda wa JWTZ alipowasili katika kambi ya  JWTZ 302 KV Lugalo Jijini Dar es Salaam leo tarehe 15 Novemba, 2021 kwa ajili ya kufungua Mkutano Mkuu wa Tano wa Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 2021, kuhusu kujadili hali ya Jeshi pamoja na Taifa kwa ujumla ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa upeo wa pamoja katika Jeshi. Mkutano huo umefunguliwa leo tarehe 15 Novemba, 2021.

No comments:

Post a Comment