KAMPUNI YA AGRICOM AFRICA LTD ILIVYONOGESHA MASHINDANO YA SHIMIWI MKOANI MOROGORO, YAKABIDHIWA KOMBE LA HESHIMA YA UDHAMINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 4 November 2021

KAMPUNI YA AGRICOM AFRICA LTD ILIVYONOGESHA MASHINDANO YA SHIMIWI MKOANI MOROGORO, YAKABIDHIWA KOMBE LA HESHIMA YA UDHAMINI

 


Mwenyekiti WA SHIMIWI akimkabidhi Mtendaji Mkuu wa AGRICOM AFRICA LTD kombe maalumu la mdhamini mkuu wa Mashindano ya SHIMIWI 2021 yaliyomalizika Jana mjini Morogoro.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe. Innocent Bashungwa  akikabidhi Kadi ya umiliki wa Trekta mkulima aliyenunua Trekta Kwa ofa maalumu ya kipindi cha michezo ya SHIMIWI yaliyomalizika Jana mjini Morogoro Chini ya udhamini wa Agricom Africa ltd.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Innocent Bashungwa  akizungumza jambo na Viongozi waandamizi wa Kampuni ya Agricom Africa ltd.


 Waziri Bashungwa,Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh. Martin Shigela pamoja na Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mhe. Albert Msando, wakihakiki na kumkabidhi trekta mteja wa Agricom Africa ltd ambaye ndiye mdhamini mkuu wa SHIMIWI.


Waziri Bashungwa akiwasha trekta alilonunua mkulima wa Dakawa kutokea Agricom Africa ltd wakati wa mashindano ya SHIMIW,ambapo Agricom Africa ltd ndiye mdhamini mkuu wa Mashindano ya SHIMIWI kwa mwaka 2021.

Mwenyekiti WA SHIMIWI akimvisha Mtendaji Mkuu wa AGRICOM AFRICA LTD medali maalumu ya mdhamini mkuu wa Mashindano ya SHIMIWI 2021 yaliyomalizika Jana mjini Morogoro.

Baadhi yawafanyakazi wa Agricom Africa wakiwa na baadhi ya Wateja  waliofika kununua Zana za kilimo kwenye mashindano ya wizara zote za serikali SHIMIWI yalifanyika mjini Morogoro.


No comments:

Post a Comment