Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wananchi wa Longido mkutano wa Hadhara uliofanyika leo tarehe 18 Oktoba 2021 katika Uwanja wa Stendi mpya Longido Mkoani Arusha. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi Mkoani Arusha. PICHA NA IKULU.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas LTD kiliopo Eurendeke Longido Mkoani Arusha leo tarehe 18 Oktoba 2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi Mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mradi Mkubwa wa Maji safi na Salama Longido Mkoani Arusha leo tarehe 18 Oktoba 2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi Mkoani Arusha. Wa pili kulia Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso, kushoto ni Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. John Mongela.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu uandaaji wa Nyama mara baada ya kuzindua kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas LTD kiliopo Eurendeke Longido Mkoani Arusha leo tarehe 18 Oktoba 2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi Mkoani Arusha.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa Kitambaa kuzindua kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas LTD kiliopo Eurendeke Longido Mkoani Arusha leo tarehe 18 Oktoba 2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi Mkoani Arusha. wa pili kulia Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso, Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe. John Mongela, kushoto Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo.
Kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas LTD kiliopo Eurendeke Longido Mkoani Arusha leo tarehe 18 Oktoba 2021.
Wananchi wa Longido wakiwa katika mkutano wa Hadhara uliofanyika leo tarehe 18 Oktoba 2021 katika Uwanja wa Stendi mpya Longido Mkoani Arusha. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi Mkoani Arusha. PICHA NA IKULU.
Tuzo za watendaji wakuu bora 100 wa mwaka
-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Sharif Ali
Sharif amewataka vijana wa Kitanzania kubuni miradi inayoendana na sera za
uw...
MKAKATI: CCM IKIHITIMISHA KAMPENI KWA KISHINDO
-
*Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafunga kampeni zake za uchaguzi wa Serikali
za Mitaa kwa kishindo, kwa namna ile ile kilivyozindua. Hii itadhihirika
tareh...
MKAKATI: CCM IKIHITIMISHA KAMPENI KWA KISHINDO
-
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafunga kampeni zake za uchaguzi wa Serikali za
Mitaa kwa kishindo, kwa namna ile ile kilivyozindua. Hii itadhihirika
tarehe 26...

AJIRA ZIPO, JIENDELEZENI KITAALUMA: KASEKENYA
-
*Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya akitunuku Vyeti kwa
wanafunzi bora katika Mahafali ya Pili ya Taasisi ya Teknoljia ya Ujenzi
(ICoT), mjin...
No comments:
Post a Comment