MHE. RAIS SAMIA AKIHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA ARUSHA MKUTANO WA HADHARA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday 18 October 2021

MHE. RAIS SAMIA AKIHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA ARUSHA MKUTANO WA HADHARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wananchi wa Arusha  mkutano wa Hadhara uliofanyika leo tarehe 17 Oktoba 2021 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi Mkoani Arusha.

Sehemu ya wananchi na viongozi wa Mkoa wa Arusha wakiwa katika mkutano huo wa hadhara.

No comments:

Post a Comment