MHE. RAIS SAMIA AKIHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA WANANCHI WA HALMASHAURI WA MANISPAA YA MOSHI MJINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday 15 October 2021

MHE. RAIS SAMIA AKIHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA WANANCHI WA HALMASHAURI WA MANISPAA YA MOSHI MJINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa Hadhara Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mjini katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi leo Octoba 15,2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa Hadhara Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mjini katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi leo Octoba 15,2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi. 

Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro, wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokua akiwahutubia mkutano wa Hadhara katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi leo Octoba 15,2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Hadhara Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro leo Octoba 15,2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuhutubia Mkutano wa Hadhara katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro leo Octoba 15,2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.

No comments:

Post a Comment