TAJIRI MO ATEMBELEA MAZOEZI YA WACHEZAJI WA SIMBA FC...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 24 September 2021

TAJIRI MO ATEMBELEA MAZOEZI YA WACHEZAJI WA SIMBA FC...!

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Club ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' akizungumza na wachezaji wa Simba kabla ya mchezo wa Ngao ya Hisani na Timu ya Yanga zote za jijini Dar es Salaam utakaofanyika Jumamosi hii ya Septemba 25, 2021.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Club ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' akitembelea wachezaji wa Simba kabla ya mchezo wa Ngao ya Hisani na Timu ya Yanga zote za jijini Dar es Salaam utakaofanyika Jumamosi hii ya Septemba 25, 2021.

No comments:

Post a Comment