RAIS SAMIA HASSAN AWASILI DAR ES SALAAM AKITOKEA NCHINI MAREKANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday 25 September 2021

RAIS SAMIA HASSAN AWASILI DAR ES SALAAM AKITOKEA NCHINI MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam wakati akitokea New York nchini Marekani leo tarehe 25 Septemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam wakati akitokea New York nchini Marekani leo tarehe 25 Septemba, 2021. Kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam waliofika kumpokea katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Septemba, 2021. PICHA NA IKULU

Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam wakati akitokea New York nchini Marekani leo tarehe 25 Septemba, 2021.

No comments:

Post a Comment