RAIS SAMIA HASSAN, AKIHUTUBIA MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA, KATIKA UKUMBI WA UMOJA WA MATAIFA JIJINI NEW YORK NCHINI MAREKANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday 23 September 2021

RAIS SAMIA HASSAN, AKIHUTUBIA MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA, KATIKA UKUMBI WA UMOJA WA MATAIFA JIJINI NEW YORK NCHINI MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, katika Ukumbi wa Umoja wa Mataifa Jijini New York Nchini Marekani leo Septemba 23,2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kitabu cha kumbukumbu katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Jijini New York Marekani, mara baada ya kuhutubia mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo Septemba 23,2021. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja  na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Jijini New York Nchini Marekani leo Septemba 23,2021. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye mkutano wa pamoja kati ya Wafanya Biashara wa  Tanzania na Marekani ambapo amesisitiza kuimarishwa kwa Biashara kati ya Mataifa hayo mawili ili kuwa na faida kwa pande zote mbili. Mkutano huo umefanyika  leo Sept 22,2021 Jijini New York Nchini Marekani. 

No comments:

Post a Comment