RAIS SAMIA AWASILI NCHINI MAREKANI KUHUDHURIA MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UN - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 19 September 2021

RAIS SAMIA AWASILI NCHINI MAREKANI KUHUDHURIA MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JF Kenedi Jijini New York Marekani leo Sept 19,2021 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 Sept 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka kuelekea New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo tarehe 18 Septemba, 2021. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment