MHE. RAIS SAMIA AHUDHURIA KUAPISHWA RAIS MPYA WA ZAMBIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 24 August 2021

MHE. RAIS SAMIA AHUDHURIA KUAPISHWA RAIS MPYA WA ZAMBIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumpongeza Rais Mpya wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa 7 wa Zambia katika Uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021.

Hafla ya kuapishwa kwa Rais Mpya wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema zikiendelea katika Uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mpya wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa 7 wa Zambia katika Uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021.

No comments:

Post a Comment