RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA JAMHURI YA BOTSWANA DKT. MOKGWEETSI ERIC KEABETSWE MASISI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 10 June 2021

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA JAMHURI YA BOTSWANA DKT. MOKGWEETSI ERIC KEABETSWE MASISI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea na kuiangalia zawadi ya picha aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea na kuiangalia zawadi ya picha aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021.

No comments:

Post a Comment