RAIS SAMIA HASSAN AKIBADILISHANA MAWAZO NA WAGENI BAADA YA KAZI...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 28 March 2021

RAIS SAMIA HASSAN AKIBADILISHANA MAWAZO NA WAGENI BAADA YA KAZI...!

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. Adeladus Kilangi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Bashiri A. Kakurwa mara baada ya kumalizika kwa Hafla ya upokeaji wa Taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG za mwaka wa fedha 2029/20 na Taarifa ya Taasisi ya Kuzuwia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ya mwaka 2019/2020  leo March 28,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Naibu Spika Mhe.Tulia Akson baada ya kumalizika kwa Hafla ya upokeaji wa Taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG za mwaka wa fedha 2029/20 na Taarifa ya Taasisi ya Kuzuwia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ya mwaka 2019/2020  leo March 28,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Bw. Charles E Kichere mara baada ya kumalizika kwa Hafla ya upokeaji wa Taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG za mwaka wa fedha 2029/20 na Taarifa ya Taasisi ya Kuzuwia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ya mwaka 2019/2020  leo March 28,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. kushoto ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai.

No comments:

Post a Comment