Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Wenye Ulemavu)Mhe. Ummy Ngeriananga akieleza mikakakti ya kuwezesha watu wenye ulemavu na kusimamia haki zao wakati wa kikao hicho. |
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakifuatilia kikao cha Kamati hiyo leo Machi 28, 2021. |
Sehemu ya Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia hoja wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria walipokutana hii leo Bungeni Dodoma. |
No comments:
Post a Comment