Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho akifafanua jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati wa kupitia rasimu ya bajeti ya Sekta ya Ujenzi mjini Dodoma. |
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso akizungumza jambo kwenye kikao hicho. |
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika kikao cha kupitia rasimu ya bajeti ya Sekta ya Ujenzi mjini Dodoma. |
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika kikao cha kupitia rasimu ya bajeti ya Sekta ya Ujenzi mjini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment