KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI, JOHN KIJAZI AZIKWA KOROGWE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 20 February 2021

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI, JOHN KIJAZI AZIKWA KOROGWE


Maziko ya aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, Mhandisi John Kijazi yakiendelea katika makaburi ya Parokia ya Mtakatifu Augustino Korogwe.


Ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, Mhandisi John Kijazi ikiendelea nyumbani kwake Kwamkole Korogwe kabla ya maziko yaliyofanyika katika makaburi ya Parokia ya Mtakatifu Augustino Manundu Korogwe.


Wanafamilia ya aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, Mhandisi John Kijazi wakiwa katika mazishi kwenye makaburi ya Parokia ya Mtakatifu Augustino Korogwe.


Maziko ya aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, Mhandisi John Kijazi yakiendelea katika makaburi ya Parokia ya Mtakatifu Augustino Korogwe.


Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi sekta ya ujenzi Arch. Elius Mwakalinga akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bw. Allan Kijazi mara baada ya maziko ya aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi, Mhandisi John Kijazi huko Korogwe.


Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi sekta ya ujenzi Arch. Elius Mwakalinga (katikati mwenye suti ya bluu)  akisisitiza jambo kwa baadhi ya watendaji wa taasisi zilizo chini ya sekta ya ujenzi mara baada ya maziko ya aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi, Mhandisi John Kijazi huko Korogwe.

No comments:

Post a Comment