Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wales Karia (aliyebeba kombe) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Taifa ya wasichana wa chini ya umri wa miaka 17 (U-17) mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakitokea Afrika Kusini waliposhiriki michuano Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Kusini mwa Afrika, (COSAFA) na kuibuka mabingwa.
Mwenyekiti wa Soka la Wanawake nchini Bibi Amina Karuma akiwapokea wachezaji wa timu ya Taifa ya wasichana wa chini ya umri wa miaka 17 (U-17) mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakitokea Afrika Kusini waliposhiriki michuano Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Kusini mwa Afrika, (COSAFA) na kuibuka mabingwa.
Wachezaji wa timu ya Taifa ya wasichana wa chini ya umri wa miaka 17 (U-17) wakishangilia ushindi wao walioupata Afrika Kusini waliposhiriki michuano Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Kusini mwa Afrika, (COSAFA) mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakitokea na kuibuka mabingwa. (Na Eleuteri Mangi, WHUSM-Dar es Salaam). |
No comments:
Post a Comment