MGOMBEA URAIS CCM AZUNGUMZA NA WAPIGA KURA BUCHOSA NA NZERA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 9 September 2020

MGOMBEA URAIS CCM AZUNGUMZA NA WAPIGA KURA BUCHOSA NA NZERA

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi wa Nzera mkoani Geita katika Mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM wakati akitokea Buchosa Sengerema mkoani Mwanza.

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nyahunge katika Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza katika mikutano ya Kampeni za CCM tarehe 8 Septemba, 2020.

No comments:

Post a Comment