MGOMBEA URAIS CCM AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAGANZO, MWIGUMBI NA MASWA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 4 September 2020

MGOMBEA URAIS CCM AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAGANZO, MWIGUMBI NA MASWA

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Maswa mkoani Simiyu katika mikutano ya Kampeni wakati akiwa njiani kuelekea Bariadi.

Sehemu ya Wananchi wa Maswa wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili wakati akitokea mkoani Shinyanga.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Maswa mkoani Simiyu katika mikutano ya Kampeni wakati akiwa njiani kuelekea Bariadi.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Maswa mkoani Simiyu katika mikutano ya Kampeni wakati akiwa njiani kuelekea Bariadi.

No comments:

Post a Comment