Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwapungia mkono wananchi waliojitokeza katika mkutano wa kampeni. |
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Ilani ya CCM ya Uchaguzi ya 2020/25 Mgombe Kiti cha Ubunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini kwa tiketi ya CCM Mhe. Hawa Ghasia wakati wa mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Uwanja wa Polisi Nanyamba leo Septemba 10,2020. |
No comments:
Post a Comment