MAELFU KWA MAELFU WAJITOKEZA KUMSIKILIZA MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AKIUNGURUMA MJINI CHATO MKOA WA GEITA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 14 September 2020

MAELFU KWA MAELFU WAJITOKEZA KUMSIKILIZA MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AKIUNGURUMA MJINI CHATO MKOA WA GEITA

Maelfu kwa maelfu ya wananchi wakiwa katika Uwanja wa Mazaina mjini Chato mkoani Geita kumsikiliza mgombea wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa hadhara wa kampeni Septemba 14, 2020.

Mgombea wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akicheza na msanii Rajabu Abdul Kahali maarufu kama Harmonize alipokuwa akitumbuiza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa Mazaina Septemba 14, 2020.

Mgombea wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimvisha kofia ya CCM msanii Rajabu Abdul Kahali maarufu kama Harmonize baada ya kutumbuiza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa Mazaina Septemba 14, 2020.

Mgombea wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akicheza na msanii Rajabu Abdul Kahali maarufu kama Harmonize kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa Mazaina Septemba 14, 2020.

Maelfu kwa maelfu ya wananchi wakiwa katika Uwanja wa Mazaina mjini Chato mkoani Geita kumsikiliza mgombea wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa hadhara wa kampeni Septemba 14, 2020.

No comments:

Post a Comment