Mgombea ubunge Jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa (shati la kijani) akiwa ameambatana na Mgombea ubunge viti maalum, Oliva Semguruka(kulia) na Mjumbe wa mkutano mkuu taifa na Mgombe Udiwani kata Nyabiyonza, Thomas Rwentabaza kuwatembelea wanafunzi waliolazwa katika hospitali ya Nyakahanga kufatia ajari ya kuungua moto bweni la shule ya msingi Isilamic (Byamungu), uliotokea usiku wa kuamkia Septemba 14, 2020, Kyerwa, Kagera.
Mgombea ubunge Jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa (shati la kijani) akiwa ameambatana na Mgombea ubunge viti maalum, Oliva Semguruka(kulia) na Mjumbe wa mkutano mkuu taifa na Mgombe Udiwani kata Nyabiyonza, Thomas Rwentabaza kuwatembelea wanafunzi waliolazwa katika hospitali ya Nyakahanga kufatia ajari ya kuungua moto bweni la shule ya msingi Isilamic (Byamungu), uliotokea usiku wa kuamkia Septemba 14, 2020 Kyerwa, Kagera.
No comments:
Post a Comment