JPM AENDELEA NA KAMPENI ZA CCM KATORO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 9 September 2020

JPM AENDELEA NA KAMPENI ZA CCM KATORO

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi wa Katoro katika mkutano wa Kampeni za CCM wakati akielekea Chato mkoani Geita tarehe 9 Septemba 2020.

Sehemu ya Wananchi wa Katoro na Buseresere wakishangilia wakati Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili Katoro mkoani Geita.

Waziri wa Madini Doto Biteko akiwa na pacha wake Kurwa Biteko pamoja na wagombea Ubunge  wengine wa CCM mkoa Geita.

No comments:

Post a Comment