RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHI UENYEKITI WA SADC KWA RAIS WA MSUMBIJI FILIPE NYUSI, IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday 17 August 2020

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHI UENYEKITI WA SADC KWA RAIS WA MSUMBIJI FILIPE NYUSI, IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi Uenyekiti wa (SADC) kwa Balozi wa Msumbiji hapa nchini Monica Patricio Clemente ambaye alipokea kwa niaba ya Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifatilia Mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC uliokuwa ukifanyika kwa njia ya Mtandao kabla ya kukabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi aliyewakilishwa na Balozi wa Tanzania hapa nchini Monica Patricio Clemente Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Agosti, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifatilia Mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa (SADC) uliokuwa ukifanyika kwa njia ya Mtandao mara baada ya kukabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi aliyewakilishwa na Balozi wa Tanzania hapa nchini Monica Patricio Clemente Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Agosti, 2020. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment