WAZIRI MHAGAMA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CWT TAIFA NA KAMATI TENDAJI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 8 June 2020

WAZIRI MHAGAMA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CWT TAIFA NA KAMATI TENDAJI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Viongozi wa ngazi ya taifa na Kamati ya utendaji ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) alipokutana nao kwa lengo la kuwapongeza viongozi hao. Kulia ni Rais wa Chama Walimu Tanzania (CWT) Bi. Leah Ulaya.

Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) wakifuatilia kwa makini maelezo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipokutana nao katika ukumbi wa mkutano wa PSSSF, Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment